Thursday, September 1, 2011

MANCHESTER UTD 8 vs ARSENAL 2.

Ilikuwa siku ya jumapili 28/08/2011, Kama masihara vile lakini ndio matokeo yalivyokuwa katika mechi ya mahasimu wakuu katika Ligi ya Mabingwa huko Ulaya ambapo Manchester United iliifundisha mpira Arsenal FC kwa kuwafunga magoli 8 kwa 2.
Wafungaji wa Manchester walikuwa ni; Wayne Rooney (magoli 3 pekeake), Ashley Young (magoli 2 pekeake), Nani (1), Park Ji-Sung (1) na Welbeck (1). Wafuta machozi wa Arsenal walikuwa ni Van Persie na Walcott.
Wayne Rooney mfungaji wa magoli matatu akiwa amembeba Ashley Young aliyefunga mawili


Wadau wakienda kuizkia Arsenal. RIP Arsenal

No comments:

Post a Comment

Unaonaje hii?