Thursday, August 4, 2011

WATANZANIA KUSHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU BILA GIZA???

Ni swali ambalo kila mtanzania na yeyote anayeguswa na nchi hii angependa kupata jibu lake na kujua mustakabali wa Tanzania ijayo baada ya kutimiza miaka 50 ya Uhuru itakapofika 09 Desemba 2011.
Ni mwendo wa makida-makida hadi kwenye nguzo za umeme

No comments:

Post a Comment

Unaonaje hii?