Tuesday, August 2, 2011

MBINU YA KUUZA JUISI YAGUNDULIKA, WABONGO TUNAWEZA???

Dada Juisi akiwa na mteja wake maeneo ya ufukweni kikazi zaidi.
UJASILIAMALI HUU: Msichana mjasiliamali amebunifu mbinu mpya ya kuuza juisi nzuri kwa mvuto wa hali ya juu kwa wateja wake. Wala haitaji duka kubwa au eneo kubwa, la hasha! Ni mvuto wa mazingira ya biashara yake, hata kama mteja hana kiu wala hajisikii kunywa juisi lakini ni lazima atashawishika kusogea karibu na kununua ili japo uonje tu. Jamani, wabongo tunaweza???

No comments:

Post a Comment

Unaonaje hii?