Saturday, July 16, 2011

MHESHIMIWA RAIS KIKWETE HARUSINI BAGAMOYO


Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akiwa katika harusi ya mdogo wake Bw. Yusuph Kikwete ilifanyika Ikulu ndogo mjini Bagamoyo jana ijumaa tarehe 15/07/2011. Kwa picha zaidi za sherehe hiyo; BOFYA HAPA

1 comment:

Unaonaje hii?