Saturday, July 16, 2011

PROFFESA JAY AREKODI VIDEO YA SINGO MPYA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Joseph Haule (Professa J) ameanza kufanya kurekodi video yake wimbo Mafungu 7 itakayokuwa katika album ya KAMA IPO. Kaa tayari, tutakuletea picha na maelezo zaidi very soooon! Stay tuned!!